Sunday, November 8, 2009

MAHABUBA LYRICS

Written by M. Ndonga


Wewe/ Nimpendaye/ ingawa/ bado hujanijia/
Bado/ imani/ Yangu ipo/ haijafifia/
Natuma/ Huu ujumbe/ Kwenye wimbo/ Kwako wewe/

Chorus:
Mahabuba/nakupenda mno/
Nakupenda mno/ nakupenda mno/

Dalili/ Za Mvua/ Ni Mawingu/ Za mapenzi ni mnong'ono/
Mtetemo/ wa roho/ N'do Ishara/ Penzi linakuja, Penzi linakuja, Penzi lina/
Kuja/ Ni tayari/ kupokea/ Huba/

Chorus:
Mahabuba/nakupenda mno/
Nakupenda mno/ nakupenda mno/

Namtakia awe buheri wa afya/
Na kwenye kilio mazito makubwa machungu mapana nipate kumbana/
Kwenye penzi letu tupate kuzama/
Moyo akili apate changanya/
Mawazo maneno mapya kukanganya/
Tuungane nafsi isoweza tengana/
Jitoa, toeka, boeka, achana/
Na-omba awe mwepesi kutizama/
Taratibu mpenzi muungwana/
Tayari penzi moja kuungama/
Kwenye shida na raha kuniandama/

Chorus:
Mahabuba/nakupenda mno/
Nakupenda mno/ nakupenda mno/

1 comment:

Unknown said...

i luv the lyrics n the beats as well. plus, it brings to my mind awesome memories. i luv it